1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages

 
 
 

 

Masuala ya Jamii | 07.01.2009

Kenya na Uganda kujenga njia ya reli

Rais wa Kenya Mwai Kibaki, (katikati), akiwa na Waziri Mkuu, Raila Odinga, (kulia) wakati wa upatanishi uliofanywa na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, (shoto), kutokana na machafuko baada ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, wakiahidi kufanya kazi kwa pamoja kuijenga Kenya.

Kenya na Uganda zina mpango wa kujenga njia mpya ya reli kutoka katika bandari ya Mombasa kwa lengo la kukabiliana na ongezeko la biashara baina ya nchi za Afrika Mashariki na nchi jirani zisizo na bandari. »

 

Masuala ya Jamii | 07.01.2009

Bunge la Ethiopia laridhia sheria, kuwekea vikwazo mashirika ya kiraia yanayofadhiliwa zaidi.

Watoto wa Kiethiopia, ambao wanahitaji msaada zaidi kutoka nje ya nchi hiyo, kutokana na kwamba nchi yao ni moja ya nchi zinazotegemea sana misaada.

Bunge la Ethiopia limeridhia mswada uliozua ubishi wa kuyawekea vikwazo, mashirika ya misaada, ambayo yanayopokea zaidi ya asilimia 10 ya ufadhili wa kigeni katika kuendesha shughuli zao. kuendesha shughuli zao. »

 

Masuala ya Jamii | 07.01.2009

Bilionea la Kijerumani lajiua baada ya biashara zake kwenda mrama

Bilionea Adolf Merckle

Tajiri mmoja mkubwa hapa Ujerumani aliyekuwa akimiliki makampuni na viwanda kadhaa,Adolf Merckle amejiua baada ya biashara zake kuingia katika hasara kubwa.  »

 

Masuala ya Jamii | 07.01.2009

Billionea la Kijerumani lajiua baada ya kupata biashara zake kwenda mrama

Billionea Adolf Merckle

Tajiri mmoja mkubwa hapa Ujerumani aliyekuwa akimiliki makampuni na viwanda kadhaa,Adolf Merckle amejiua , baada ya biashara zake kuingia katika hasara kubwa.  »

 

Podcasting & Feeds | 18.12.2008

RSS-Feeds Deutschkurse

RSS Logo

Hier finden Sie eine Zusammenstellung aller RSS-Feeds der Redaktion Deutschkurse. »

 

Search

Archive

Title

 

 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

deutschland heute - Das Deutschlandmagazin