1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

 | 19.11.2008

Bw.Steinmeier na Ukanzela .

Steinmeier na A.Merkel

Waziri wa nje wa Ujerumani Bw.steinmeier akumbana na changamoto kali kutoka kwa Bibi Angela Merkel. »

 

Matukio ya Kisiasa | 19.11.2008

Steinmeier India

 Frank-Walter Steinmeier (alipomtembelea Kiongozi/Pakistan)

Waziri wa nje wa ujerumani amefunga safari ya siku 3 nchini India. »

 

Matukio ya Kisiasa | 18.11.2008

Matumaini kutenzua mgogoro wa Mashariki ya Kati

Rais wa Israel Shimon Peres akiwa ziarani Uingereza amesema, ana matumaini mema kuwa makubaliano ya amani yatapatikana katika kipindi cha miezi 12 ijayo,kufuatia uchaguzi wa Barack Obama kama kiongozi mpya wa Marekani. »

 

Matukio ya Kisiasa | 18.11.2008

MSAADA KWA OPEL?

Msaada kwa viwanda vya magari kutokana na msukosuko wa uchumi. »

 

Matukio ya Kisiasa | 18.11.2008

Mkutano kuhusu swala la soko la pamoja la Afrika Mashariki

Tanzania imelaumiwa na mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki kwa kuhujumu juhudi za kubuni soko la pamoja la jumuiya hiyo. »

 

Search

Archive

Title

 

 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

Journal (english) - With In Depth