Taarifa fupi za Habari kwa njia ya SMS
Wapendwa wasikilizaji,
Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle inakupatia huduma mpya !!!
Unaweza kupokea bila ya malipo yoyote kutoka Jumatatu hadi Ijumaa, taarifa fupi za habari kwa njia ya SMS kupitia simu yako ya mkononi.
Ili uweze kujisajili tutumie ujumbe mfupi mmoja wa SMS kupitia nambari
0049 17 68 88 77 111. Ikiwa unataka kujiondoa tutumie SMS kwa kuandika JIONDOE kupitia namba hiyo hiyo.








